Sasa unataka kusema nini ndugu Paskali?Mkuu Tindo, kauli yoyote ya rais wa TLS atakaoitoa kama rais wa TLS, hufuatiwa na maandishi ya TLS, ila yeye kama wakili ana uhuru wa kutoa maoni yake yoyote kama Mtanzania mwingine yeyote, kwasababu huyu ni rais wetu, na TLS ni statutory body, si vema rais wa TLS kutoa maoni yake on legal matters kwa vitu ambavyo TLS could have deliberated them, ili rais wa TLS akisema kitu cha kisheria ni TLS imesema
Thanks for this, ubarikiwe sana asante.
P