Mwabukusi: Nani mwenye hekima amnyang'anye Kalamu Naibu msajili wa vyama vya Siasa?

Sasa unataka kusema nini ndugu Paskali?
 
Unaweza kuonesha tusi lilipo?
 
Nyahoza na wapumbavu wote ni laana kwa nchi hii. Kama angekuwa na akili japo kiasi kidogo angeiandikia CCM, caa kinachosababisha mauji na utekaji wa wananchi, lakini kwa sababu na lenyewe limekuwa ni sehemu ya wauaji, linahangaika ni vitu vidogo visivyo na madhara, huku likiwa limefunga macho na mdogo dhidi ya chama kinachosababisha mauaji na utekaji.

Nyahoza na laana kubwa kwa nchi hii, ni aheri asingelizaliwa.
 
Chadema inastahili kufutiwa usajili 100%

na hiyo ni kwa mujibu wa sheria za nchi. Chadema imekosa sifa za kua chama cha siasa na sasa imekua genge la kihalifu kwa 100%🐒
 
Hebu tulia ww, tabia yenu ya kujipendekeza nyie wazee waandishi ndio mmeishia kutungiwa sheria za kuwakandamiza wala hamuwezi kujitetea. Hizo nidhamu za uoga ndio unataka kupandikiza kwa wengine nao wabaki watumwa kama nyie waandishi wa habari. Jiheshimu kwa kusoma alama za nyakati.
 
Wanatia kichefuchefu, nadhani Kuna haja ya kufuata misingi ya kuanzishwa kwake!
 
JF imeingiliwa na machizi yanayotupa mawe gizani, Mwabukusi si TLS, yeye ni mtu binafsi na anayohaki ya kutoa maoni binafsi hivyo si vizuri kuyaunganisha na TLS, vinginevyo ni sawa na machizi yanayorusha mawe gizani.
 
Siasa ni nn? Mwanasiasa ni nani?
Harakati ni ni nini? Mwanaharati ni nani?
 
Hebu tulia ww, tabia yenu ya kujipendekeza nyie wazee waandishi ndio mmeishia kutungiwa sheria za kuwakandamiza wala hamuwezi kujitetea.
Kwanza ni kweli, kuna baadhi ya media na baadhi ya waandishi wanajipendekeza, yaani machawa, na kuna media za kichawa, lakini sio zote, na sio waandishi wote. Pia ni kweli tumetungiwa sheria za kutukandamiza, ila sio kuwa hatuwezi kujitetea, tunajitetea bali tunakwenda mdogo mdogo Wito kwa wanahabari: If you can't get what you want, just take what you get!
Hizo nidhamu za uoga ndio unataka kupandikiza kwa wengine nao wabaki watumwa kama nyie waandishi wa habari.
Sii kweli!
Jiheshimu kwa kusoma alama za nyakati.
Najiheshimu sana humu, mimi ni yule member ambaye hata ukinitukana, unakula like!.

P
 
Mfumo wa kisiasa na mamlaka ya rais [japo kwa sasa hatuna rais] yanafaa kupunguzwa.

Mfano ni mwepesi tu ubovu wa mifumo hii , mwaka ukiondoa 1993 ambapo madawati ya siasa yaliondolewa jeshini [japo bado viongozi wa kijeshi hupewa post za kisiasa kama DC/RC] wote walioenda JKT kabla ya hapo unapohitimu kuingia chuo kikuu criteria mojawapo ni kadi ya CCM.

Ukiwa unajiandikisha chuo kikuu siku ya kwanza pia lazima uonyeshe kadi ya CCM hivyo by default hawa akina Nyahoza na Mutungi ni makada wa CCM bado hawawezi kugomea wala kupinga amri ya mwenyekiti wa CCM ambaye ni boss wao kichama na kiserikali.

Tukiondoa mifumo hii ndipo ofisi kama hizo zitaacha kutumika kama fimbo kwa chama au wanachama tishio kwa CCM na makada wake.

CCM wanakumbana na upinzani mkali kwa sasa kutokana na vijana hawa wa Gen-Z ambao hawakufungwa na hii kanuni ya kulazimishwa kuwa chama ni kimoja tu na chama hicho ni CCM, kusoma wamesoma teknolojia imekua wanaona ubovu wa miundombinu, ugumu wa maisha , ajira za kujuana na chanzo ni chama cha kijani unafikiri watakipenda?

Mfumo mpya utakapopatikana ofisi hii itakua huru maana itahitaji nafasi zitolewe na watu waombe sio kuteua makada.
 
Huyo naobu msajili either ana shida au viongozi wake wana shida.... au wote
 
Media karibia zote?! Hebu zitaje zinazoweza kuzungumza ukweli, anzia na zilizoripoti kwa usahihi kilichotokea 29 October mwaka jana. Waandishi wanaoweza kuzungumza bila hofu ni wa kutafuta kama General Ulimwengu, Khalifa wa the Chanzo na wachache mno. Wewe, Balile, Kamwaga, Meena ni machawa mliovuka mipaka. Ni sheria zipi mnapambana nazo ziondolewe, wakati kila siku mnadhibitiwa na hamna lolote mnafanya? Acha kupandikiza uoga boss.

Yaani like yako unaona ni kitu cha maana sana hadi udhani ukiitoa ndio unaonekana muungwana? Kwa taarifa yako like yako ni kero tu kwa wengi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…