Tua Ngoma
JF-Expert Member
- Apr 14, 2015
- 3,185
- 8,294
Huyu jamaa huwa ni mnafki,huwa mara nyingi huwa anajifanya mpinzani lakini mara nyingi kazi yake ni kuunga mkono wanaotukana CHADEMA na kujifanya wao ndiyo wapinzani wa kweliChadema walipokua na operation okoa bandari alikataa kusiriki akitaka naye afanye yake "parallel" na kwamba chadema ndio waache ziara ya kanda ya ziwa ili waende kwenye mikutano yake kwa kutumia resources za chadema kama magari, majukwaa, chopper!! What the hell?
Speak when necessary ndio unatunza value yako kwamba ukiongea una material. Sasa agenda ya bandari wabongo wameshaisahau yeye anageukia kutukana kina Mbowe kisa kupokea michango ya Rais kanisani as if Mbowe ni kiongozi wa KKKT?? Hatuwezi jenga upinzani kwa kubomoana tutakuwa na utitiri wa vyama huku CCM ikinawili tu.
Ukweli upi mnafiki huyu, kipindi yupo NCCR chadema walisusia vikao vya TCD ila yeye akiwa wakili wa chama alikua anaenda na Mbatia huku wakitusi chadema kwa kususa!! Baada ya mgogoro akawa hana chama baadaya kutimuliwa na kina Selasini sasa kwenye kutapatapa ndio mnahisi ni mzalendo sijui anaongea ukweli? If that's the case tuambie kabla ya kutimuliwa NCCR uliwahi msikia akimpinga JPM, kupinga uchaguzi wa 2020 au manyanyaso ya wapinzani 2016-2020?
Wewe unakubaligi kila mzalendo uchwara wanaofoka baada ya kukosa uongozi!!, si hadi Mpina ulikua unampamba ni mzalendo sahivi kahaaidiwa cheo kimyaaaaa haropoki tena. Huyu akiteuliwa na Samia hutoamini atakavyokana katiba mpya.
Mtu kama huyu ni Hatari zaidi ya huyo Mwabukusi
Hajui hata kuwa tunamjua huyo Mwabukusi nje ndani na kilichomtoa CHADEMA