Mwabukusi ni Pandikizi la CCM? Ndiye mvurugaji mkuu wa Demokrasia!

Mwabukusi ana hasira na CHADEMA anatafuta njia ya kukiumiza. Ni Kama akina Nassari, walipopewa ukuu wa Wilaya kazi yao kubwa ilikuwa kushusha bendera za CHADEMA. Mwabukusi alikuwa CHADEMA Baada ya kukosa uongozi akahamia NCCR kwa hasira. Hivyo bado ana kinyongo na CHADEMA. Huyo muda sio mrefu atahamia ccm au ACT ndio rangi yake itajulikana.
 
Hilo la nongwa na cdm liko wazi.
 
Mimi kama Mimi Sina tatizo kubwa na misimamo yake, ila aliporibuniwa na Magufuli akiwa chini ya Mbatia, nilimtoa maanani kabisa. Namchukulia ni kama Mrema aliyechangamka.
 
Upinzani gani hautaki Urais?. Tuache unafiki. Halafu kuhusu katiba Mpya, mbona CHADEMA wamelipigia kelele
Sasa mbona chadema haishindi urais? Miaka yote, mnadai kuna wiz. Sasa kama kuna wiz mnashiriki kwenye uchaguz ili mpate nn? Mnapiga kelele kuhusu katiba mpya, lakin mbona mnaingia kwenye maridhiano na Mbowe anapewa mzigo wa maana. Ni kwamba ruzuku na ubunge ni mtamu ndio maana hamtaki kuwa serious.
 
Very pointless
 
Mwabukusi anatumika tu na watu ambao amefika bei. Kwenye suala la DP WORLD alipokea Tsh 400 Milioni ili avuruge Serikali isiingie mkataba wa bandari na wawekezaji wa Dubai.
 
Mwabukusi anatumika tu na watu ambao amefika bei. Kwenye suala la DP WORLD alipokea Tsh 400 Milioni ili avuruge Serikali isiingie mkataba wa bandari na wawekezaji wa Dubai.
Unaona mbali, wachache wamegundua hili.
 
Mwabukusi malaya tu wa siasa, mtkuja kujuwa baadae
 
Well said, huyu jamaa na Zitto kitu kimoja, hawajielewi kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…