Mkalukungone mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 862
- 1,755
Ameyasema hayo leo Julai 26/7/2024 baada ya kushinda kesi yake
Baada Mahakama kutengua maamuzi ya Kamati ya Rufani ya TLS, na kumrejesha Wakili Mwabukusi kugombea Urais wa TLS
Hapo awali, Wakili Mwabukusi aliondolewa kwenye mchakato huo ambapo aliamua kufungua shauri la kupinga maamuzi ya Kamati ya Rufani iliyomuengua. Uchaguzi wa Rais wa TLS unatarajiwa kufanyika mapema Agosti, 2024