DuaZaMama
JF-Expert Member
- Jun 2, 2025
- 1,882
- 4,153
Akizungumza na Wakili tv kwa njia ya mtandao rais wa Tanganyika Law society TLS Wakili Mwabukusi amesema kuwa kitendo cha jeshi la polisi kuzingira ofisi za cha hicho wamelichukulia kwa uzito mkubwa huku akiikumbusha jeshi la polisi kuwa TLS ipo kwa mujibu wa sheria.
Pia Soma: GE2025 - Ofisi ya TLS Makao Makuu imezingirwa na Askari Polisi
Pia Soma: GE2025 - Ofisi ya TLS Makao Makuu imezingirwa na Askari Polisi