PreGE2025 Mwabukusi: Tunataka uchaguzi ufanyike bila mabomu wala vurugu

PreGE2025 Mwabukusi: Tunataka uchaguzi ufanyike bila mabomu wala vurugu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Boniphace Mwabukusi amesema anataka Uchaguzi Mkuu wa Oktoba mwaka huu ufanyika bila mabomu wala virungu.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Ametoa kauli hiyo leo Mei 3, 2025 alipozungumza kwenye kongamano la uchaguzi mkuu 2025 lililoandaliwa na TLS jijini Dar es Salaam.

 
Back
Top Bottom