Mwabukusi, uchaguzi umekwisha sasa jielekeze kwenye majukumu ya TLS

Anayajua majukumu yake vyema kuliko wewe kwa hiyo wala haitaji ushauri uchwara
Ni ushauri tu tunampa. Kama unaona ni ushauri uchwara iko siku tutarudi hapa
 
Anayajua majukumu yake vyema kuliko wewe kwa hiyo wala haitaji ushauri uchwara
Haijalishi kama anajuwa kuliko sisi, kimsingi mengi yanayosemwa wakati wa kampeni huwa ni tofauti kwenye utendaji kwa ground
 
Wewe uliyefaulu mbona hujawahi kuwa hata balozi wa nyumba 10, hata kuwa kiongozi wa familia umeshindwa na mchepuko ndio kichwa cha familia yako
 
Kwanini hukumshauri mwanzo?
 
Wanasheria wetu Tanzania ni watu wanaojitambua.
Wanamjua Rais wao, President Mwabukusi.
Tulioko pembeni tuache kiherehere.
 
Mwabukusi jielekeze hapa juu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…