Mwabukusi: Vijana wa kitanzania wanajua vifungu vyote vya FIFA ila hawana mpango wa kuijua wala kujua mapungufu ya katiba ya nchi yao

Mwabukusi: Vijana wa kitanzania wanajua vifungu vyote vya FIFA ila hawana mpango wa kuijua wala kujua mapungufu ya katiba ya nchi yao

The Phylosopher

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2015
Posts
1,968
Reaction score
2,957
Akiongea kwa uchungu sana wakili mwabukusi amesema inakatusha tamaa kuona vijana wa Tanzania wana uwezo mkubwa wa kustad Sheria zoote za fifa zinazoratibu na kuongoza mpira wa miguu, wakati huohuo wakiwa hawajui chochote kuhusu katiba ya nchi yao.

My take
Kimsingi kunyimwa elimu ni uchawi mkubwa kuliko uchawi mwingine wowote. Maana kwa hatua tuliyofikia ni mwendo wa kutengeneza machawa maana ndo njia ya mkato ya kujipatia maisha ingawa ni njia inayoua uwezo wa watu kutumia akili zao sawsawa.
 
Mnayosema nikweli kabsa lakini unajua kwamba mama amefanya mengi sana kpndi hiki kifupi so nataka kusema
2025-2030 tupo na MAMA, MAMA Anatosha 2030-2035
Ndio inawezekana akafanya mengi ila haiondoi wananchi wajifundishe kuhusu katiba yao
 
Mnayosema nikweli kabsa lakini unajua kwamba mama amefanya mengi sana kpndi hiki kifupi so nataka kusema
2025-2030 tupo na MAMA, MAMA Anatosha 2030-2035
Kugawa 5M kwa kila goli la mpira?
 
TLS ikianza kuwalaumu layman people inajiondoa kwenye dhima ya uanzishaji wake.
Yawezekana tatizo sio Katiba,tatizo ni utoaji wa Elimu kwa watu kuhusu Katiba,na nini wananchi wanataka kwa Nchi Yao....
 
Katiba ndio kila kitu na ndio tunaona hata kwa sasa inamuadhibu makam wa rais huko kenya nakatiba mpya ilipatikana kwa damu..hata huku sioni katiba mpya ikipatikana hivi hivi siooni kabisa sababu wanajua katiba mpya itawagarimu ulafi na ufisadi wao kwenye nchi hii.
 
Siku Polisi wakija kukusearch saa mbili za usiku bila kibali na wakatoka ndani na mzigo wa cocaine ambao hukumbuki kuwahi kuweka ndani mwako ndio utaelewa ana maana gani.
Sheria inasema niwasachi kwanza,waje na kiongozi wa mtaa
 
Back
Top Bottom