Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Akina Mwabukusi, Lissu, Mbowe &CoAkiongea kwa uchungu sana wakili mwabukusi amesema inakatusha tamaa kuona vijana wa Tanzania wana uwezo mkubwa wa kustad Sheria zoote za fifa zinazoratibu na kuongoza mpira wa miguu, wakati huohuo wakiwa hawajui chochote kuhusu katiba ya nchi yao.
My take
Kimsingi kunyimwa elimu ni uchawi mkubwa kuliko uchawi mwingine wowote. Maana kwa hatua tuliyofikia ni mwendo wa kutengeneza machawa maana ndo njia ya mkato ya kujipatia maisha ingawa ni njia inayoua uwezo wa watu kutumia akili zao sawsawa.
Wangepata vijana kama wa Kenya, wangekuwa mbali sana .