The Phylosopher
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 1,968
- 2,957
Ndio mapungufu ndio tunatakiwa tuyaondoeKwa nini anataka wajue mapungufu tu!?
Yaani yeye anawaza kupinga tu,kwa nini anataka tutafute mapungufu tu badala ya kusisitiza kuijua katiba!?Ndio mapungufu ndio tunatakiwa tuyaondoe
Mbona ni kama na wewe unawaza kupinga!?Yaani yeye anawaza kupinga tu,kwa nini anataka tutafute mapungufu tu badala ya kusisitiza kuijua katiba!?
Ndio inawezekana akafanya mengi ila haiondoi wananchi wajifundishe kuhusu katiba yaoMnayosema nikweli kabsa lakini unajua kwamba mama amefanya mengi sana kpndi hiki kifupi so nataka kusema
2025-2030 tupo na MAMA, MAMA Anatosha 2030-2035
Kugawa 5M kwa kila goli la mpira?Mnayosema nikweli kabsa lakini unajua kwamba mama amefanya mengi sana kpndi hiki kifupi so nataka kusema
2025-2030 tupo na MAMA, MAMA Anatosha 2030-2035
Huwezi kuyajua mapungufu yote kama huijui katiba yote. Utayatafutaje?Yaani yeye anawaza kupinga tu,kwa nini anataka tutafute mapungufu tu badala ya kusisitiza kuijua katiba!?
Siku Polisi wakija kukusearch saa mbili za usiku bila kibali na wakatoka ndani na mzigo wa cocaine ambao hukumbuki kuwahi kuweka ndani mwako ndio utaelewa ana maana gani.Yaani yeye anawaza kupinga tu,kwa nini anataka tutafute mapungufu tu badala ya kusisitiza kuijua katiba!?
Sheria inasema niwasachi kwanza,waje na kiongozi wa mtaaSiku Polisi wakija kukusearch saa mbili za usiku bila kibali na wakatoka ndani na mzigo wa cocaine ambao hukumbuki kuwahi kuweka ndani mwako ndio utaelewa ana maana gani.
Kwa nini asingesema kuijua katiba na badala yake kataka tujue mapungufu tu!?Huwezi kuyajua mapungufu yote kama huijui katiba yote. Utayatafutaje?