Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Akina Mwabukusi, Lissu, Mbowe &CoAkiongea kwa uchungu sana wakili mwabukusi amesema inakatusha tamaa kuona vijana wa Tanzania wana uwezo mkubwa wa kustad Sheria zoote za fifa zinazoratibu na kuongoza mpira wa miguu, wakati huohuo wakiwa hawajui chochote kuhusu katiba ya nchi yao.
My take
Kimsingi kunyimwa elimu ni uchawi mkubwa kuliko uchawi mwingine wowote. Maana kwa hatua tuliyofikia ni mwendo wa kutengeneza machawa maana ndo njia ya mkato ya kujipatia maisha ingawa ni njia inayoua uwezo wa watu kutumia akili zao sawsawa.
Wewe bwana,2008 lowasa fisadi,2015 mabadiliko lowasa lowasa mabadiliko,2017-21 wabunge upinzani wananunuliwa kama malaya, halafu mnataka tuhangaike na siasa!!.. hangaikeni nazo nyinyi mnaokula kupitiazoWatu wasilaumiwe wamekata tamaa..fuatilia rafu ccm wanazofanya utaona
Mwabukusi ni mkweli tu. Vijana wa bongo Wana uwezo wa kutaja vikosi vizima vya Simba na Yanga lakini ni weupe kwenye vifungu vya katiba.Akiongea kwa uchungu sana wakili mwabukusi amesema inakatusha tamaa kuona vijana wa Tanzania wana uwezo mkubwa wa kustad Sheria zoote za fifa zinazoratibu na kuongoza mpira wa miguu, wakati huohuo wakiwa hawajui chochote kuhusu katiba ya nchi yao.
My take
Kimsingi kunyimwa elimu ni uchawi mkubwa kuliko uchawi mwingine wowote. Maana kwa hatua tuliyofikia ni mwendo wa kutengeneza machawa maana ndo njia ya mkato ya kujipatia maisha ingawa ni njia inayoua uwezo wa watu kutumia akili zao sawsawa
Sasa ndo mkaamua kumuacha Mbowe aañdamane peke yake?Watu wasilaumiwe wamekata tamaa..fuatilia rafu ccm wanazofanya utaona
Huyu nae mbona anaanza kuwa roporopo...Akiongea kwa uchungu sana wakili mwabukusi amesema inakatusha tamaa kuona vijana wa Tanzania wana uwezo mkubwa wa kustad Sheria zoote za fifa zinazoratibu na kuongoza mpira wa miguu, wakati huohuo wakiwa hawajui chochote kuhusu katiba ya nchi yao.
My take
Kimsingi kunyimwa elimu ni uchawi mkubwa kuliko uchawi mwingine wowote. Maana kwa hatua tuliyofikia ni mwendo wa kutengeneza machawa maana ndo njia ya mkato ya kujipatia maisha ingawa ni njia inayoua uwezo wa watu kutumia akili zao sawsawa.
Mapungufu ndio huzalisha mianya ya ukandamizaji wa haki za kiraiaKwa nini asingesema kuijua katiba na badala yake kataka tujue mapungufu tu!?
Wacha mbugi ipigweeeee.Yupo sahihi....tar 19/10 hiyoo
Na ndiko huko CCM inaelekeza nguvu zote kwa sasaAkiongea kwa uchungu sana wakili mwabukusi amesema inakatusha tamaa kuona vijana wa Tanzania wana uwezo mkubwa wa kustad Sheria zoote za fifa zinazoratibu na kuongoza mpira wa miguu, wakati huohuo wakiwa hawajui chochote kuhusu katiba ya nchi yao.
My take
Kimsingi kunyimwa elimu ni uchawi mkubwa kuliko uchawi mwingine wowote. Maana kwa hatua tuliyofikia ni mwendo wa kutengeneza machawa maana ndo njia ya mkato ya kujipatia maisha ingawa ni njia inayoua uwezo wa watu kutumia akili zao sawsawa.
Chamaaaaaa.....Mwabukusi ni mkweli tu. Vijana wa bongo Wana uwezo wa kutaja vikosi vizima vya Simba na Yanga lakini ni weupe kwenye vifungu vya katiba.
CCM wanautumia huo udhaifu kutapeli nchi kijinga na wizi mwingineAkiongea kwa uchungu sana wakili mwabukusi amesema inakatusha tamaa kuona vijana wa Tanzania wana uwezo mkubwa wa kustad Sheria zoote za fifa zinazoratibu na kuongoza mpira wa miguu, wakati huohuo wakiwa hawajui chochote kuhusu katiba ya nchi yao.
My take
Kimsingi kunyimwa elimu ni uchawi mkubwa kuliko uchawi mwingine wowote. Maana kwa hatua tuliyofikia ni mwendo wa kutengeneza machawa maana ndo njia ya mkato ya kujipatia maisha ingawa ni njia inayoua uwezo wa watu kutumia akili zao sawsawa.
Hana shida kabisa vijana kujua katiba bali mapungufuMapungufu ndio huzalisha mianya ya ukandamizaji wa haki za kiraia
Mnawasingizia tu vijana wa Tanzania, huku msingi wa hoja mkiukwepa. Na napenda kukufahamisha kuwa sio vijana tu na hata, watanzania wengi hawapendi kujihusisha na siasa kwa kuwa siasa zimevamiwa, na waroho wa madaraka.Akiongea kwa uchungu sana wakili mwabukusi amesema inakatusha tamaa kuona vijana wa Tanzania wana uwezo mkubwa wa kustad Sheria zoote za fifa zinazoratibu na kuongoza mpira wa miguu, wakati huohuo wakiwa hawajui chochote kuhusu katiba ya nchi yao.