Kijakazi Chizi
Member
- Dec 9, 2025
- 89
- 213
"Wengi wanaosema hivi ni watu ambao hawajalelewa kimaadili, kwa mfano leo mimi nimekuja hapa Jambo TV huwezi kuniuliza swali linalonikera nikapigana na wewe, kufanya hivyo ni kukosa maadili na kutowatendea haki sio wewe tu bali na wafuatiliaji wa chombo hiki, kuna namna ya kuwasiliana, mimi ni Wakili ukinikuta Mahakamani lazima ni-behave hata nikimkuta Hakimu ni very junior lazima nioneshe heshima kwake, ninapoinama sio kwamba naonesha udhaifu bali ni kwasababu lazima nifuate zile taratibu" -Wakili Mwabukusi
Aidha, Wakili Mwabukusi amesema kuwa baadhi yao wanaoendesha propaganda dhidi yake ni wanachama wachache wa CHADEMA ambao walijenga chuki kutokana na misimamo yake
Aidha, Wakili Mwabukusi amesema kuwa baadhi yao wanaoendesha propaganda dhidi yake ni wanachama wachache wa CHADEMA ambao walijenga chuki kutokana na misimamo yake