Mwabukusi: Watu wanatekwa mpaka tumezoea kutekwa tuko tunashangaa tu utafikiri Nyumbu

Mwabukusi: Watu wanatekwa mpaka tumezoea kutekwa tuko tunashangaa tu utafikiri Nyumbu

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) Wakili Boniface Mwabukusi amesema "Watu wanatekwa mpaka tumezoea kutekwa, Watu wanatekwa tuko tunashangaa tu utafikiri Nyumbu wanavyokamatwa kwenye msafara wao"

Aisee! Yaani unatekwa kama nyumbu! Bora hata Mdude alipambana. Maana zile damu hazikumtoka kwa urahisi tu.
 
Tupo katika Stage mbaya Sana kiusalama.

Katika hali mbaya Sana ya namna hii, Usalama wa Watu wote kabisa katika Nchi kwa Sasa hivi upo mashakani, hata kwa hao Watekaji wenyewe wanaotekeleza hivyo vitendo viovu.
Kwa Sasa, ni rahisi Sana hata kwa maadui wa Nchi hii waliopo nje ya nchi kuweza kujipenyeza hapa nchini na kisha wakafanya yao wanayotaka kuyafanya na sisi tusiweze kubaini ni Nani hasa ambaye aliyehusika. Ni hatari kubwa sana kupita kiasi ipo nchini mwetu kwa Sasa. Wadhalimu wamefanikiwa kuweka rehani Usalama wa Nchi na Wananchi wake.
 
Back
Top Bottom