Mwadui 0-1 Simba | Uwanja wa Kambarage | Vodacom Premier League

Ingiza akina Miquisson huyu dogo ni mpambanaji sana
 
Second half miquison aingie maana hawa wengine ni kama wameridhika vile
Atoke Chikwende aingie miquisone
Atoke Bwalya aingie Morrison
Atoke Kagere aingie Bocco Kagere hakai kabisa kwenye box cross nyingi zinapita hakuna mtu
 
Atoke Chikwende aingie miquisone
Atoke Bwalya aingie Morrison
Atoke Kagere aingie Bocco Kagere hakai kabisa kwenye box cross nyingi zinapita hakuna mtu
Naona sub ya Morrison na Bocco ndo imeanza mapema
 
Sisi tumeshazoe kuhesabu.....! Sio vigoli vya mawazo kama vya Uto.... ! Piga hao nyingi nyingi
 
Kipindi cha pili kimeanza uwanja wa Kambarage

Mabadiliko, Ametoka Chikwende na Mkude na wameingia Bocco na Morrisoon
 
Wanasimba lazima mkiri kuwa mnatumia uchawi...kiwango Chenu kimataifa ni MAZINGAOMBWE siku zote ninaongea,
Kama kweli mlimfunga mwarabu wa kiwango kile vipi mwadui akusumbueni?
Mnaharibu mpira nchini mnatuharibia Yanga standard yetu kwa kudhoofisha strikers wetu kwa nguvu za babu ,acheni kuidanganya dunia,sasa leo Kiko wapi?


Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Yanga ilishaharibika yenyewe
 
Marefa waruhusiwe kuingia na miwani ya macho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…