Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
WakishindaUlimfunga yanga ngap na mpira wake mbovu na Mara ya mwisho kumfunga lini
4-1
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
WakishindaUlimfunga yanga ngap na mpira wake mbovu na Mara ya mwisho kumfunga lini
Makombe ya kuku hata mimi nimekufunga Zenji ligi kuu nasemaWakishindo
4-1
Atoke Chikwende aingie miquisoneSecond half miquison aingie maana hawa wengine ni kama wameridhika vile
Naona sub ya Morrison na Bocco ndo imeanza mapemaAtoke Chikwende aingie miquisone
Atoke Bwalya aingie Morrison
Atoke Kagere aingie Bocco Kagere hakai kabisa kwenye box cross nyingi zinapita hakuna mtu
Umenifunga kwa kunizidi goli ngapi?Makombe ya kuku hata mm nimekufunga zenji ligi kuu nasema
Hilo kombe za kuku ndio lilomfanya Namungo akaenda kubeba ml 600 huko CAF na usipo kuwa makini hilo kombe utalikosa tena msimu huu kisha utabaki hapa hapa na mapinduzi yako.Makombe ya kuku hata mm nimekufunga zenji ligi kuu nasema
Yanga ilishaharibika yenyeweWanasimba lazima mkiri kuwa mnatumia uchawi...kiwango Chenu kimataifa ni MAZINGAOMBWE siku zote ninaongea,
Kama kweli mlimfunga mwarabu wa kiwango kile vipi mwadui akusumbueni?
Mnaharibu mpira nchini mnatuharibia Yanga standard yetu kwa kudhoofisha strikers wetu kwa nguvu za babu ,acheni kuidanganya dunia,sasa leo Kiko wapi?
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Amezingua, amekuwa mbinafsiBoko amekosa utulivu kabisa pale