Mwadui 0-1 Simba | Uwanja wa Kambarage | Vodacom Premier League

We Kama unaamini uchawi kwanini msiloge na nyinyi ili muwe na kiwango Cha kucheza huko ligi ya mabingwa maana hata kufuzu tu bado ni changamoto kazi kulia lia tu na marefa
 
Mkuu Mpira hujui ...huonagi timu ndogo za Uingereza kwenye kombe la FA huwa zinazifanyaje timu kubwa...!
 
Mmeanza kurejea Uto.....Ashukuriwe Rabana...Kaa hapo hapo, Usipotee baadae. Game hii bado
 
Jamaa leo wame relax sana.kuna move zinauliwa kwa makusudi...dizaini kama wame fix match!
 
66' Bocco Goooooooooooooaal

John Bocco anaipatia Simba SC bao la kwanza kwa kichwa

Mwadui FC 0-1 Simba SC
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…