Dam55
JF-Expert Member
- Oct 8, 2015
- 5,641
- 11,958
We Kama unaamini uchawi kwanini msiloge na nyinyi ili muwe na kiwango Cha kucheza huko ligi ya mabingwa maana hata kufuzu tu bado ni changamoto kazi kulia lia tu na marefaWanasimba lazima mkiri kuwa mnatumia uchawi...kiwango Chenu kimataifa ni MAZINGAOMBWE siku zote ninaongea,
Kama kweli mlimfunga mwarabu wa kiwango kile vipi mwadui akusumbueni?
Mnaharibu mpira nchini mnatuharibia Yanga standard yetu kwa kudhoofisha strikers wetu kwa nguvu za babu ,acheni kuidanganya dunia,sasa leo Kiko wapi?
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app