Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chikwende ajiangalieSasa hawa mwadui wanadhani kuwa wataweza ku defense muda wote namna hii!!? Watapigwa nyingi leo
Kumbe Miqson angeanza ..Game ya leo ngumu
Ulimfunga yanga ngap na mpira wake mbovu na Mara ya mwisho kumfunga liniTo be honest mwadui wanacheza mpira mzuri na wakiushindani maradufu kuliko yanga