Mwadui FC na masalia ya Jamhuri Kihwelo.

Anselm

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2010
Posts
1,710
Reaction score
291
Nimethibitishiwa Golikipa aliyedakia leo Mwadui katika mechi dhidi ya Simba ni mmoja wa Vijana waliokuzwa na kulelewa na aliyekuwa Kocha wa team hiyo Jamhuri Kihwelo "Julio".
Na kwamba washambuliaji wa Simba hawakushtukia mapema kuwa golini yuko Kijana wao.
Ndo maana statistics za wachezaji mmoja'mmoja katika mchezo huu zimekuwa kama ifuatavyo:-
1. Okwi............Shot on target 2 - Goli 2.
2. Boko............Shot on target 1 - Goli 1.
Tutaendelea sana kuishia round za awali kwenye mashindano ya kimataifa.
 
Washakwambia msimu huu hela wanayo
Hii pesa yao sasa naona inafanya kazi kweli kweli. Ukiangalia magoli wanayofunga simba ni kama ya dawa hivi ghafla eti gori lilikotokea wala huoni move ya gori. Kingine najiuliza, mbona kukamiwa kwa yanga hakuonekani kwa simba? Mechi za Yanga timu zinakaribia kufia uwanjani ili Yanga isipate matokeo lakini ukija kwa Simba hari ni kizungumkuti, kuanzia straika mpaka mabeki ni kama wanacheza kukamilisha ratiba tu dhidi ya simba.

Kuna haja ya kuanza kufanya uchunguzi na Takukuru waziangalie sana hizi mechi za Simba na Yanga. Kuna mzunguko wa pesa hapa na ukizingatia watu washatangaza mwaka huu ni wao na pesa wanayo, hiyo pesa ni ya kazi gani tena?
 
 
Naona ushaanza kuwashwa
 
Wamechanganyikiwa mapema hawa, Okwi aliwafunga Misri yenye wachezaji wa EPL atashindwaje kuwafunga Mwadui?
Ubora wa mchezaji haupimwi kwa kuwafunga nani nani cjui,ukileta hizo nitakuuliza pia kwnn alishindwa kuwafunga Chipukizi ya Zanzibar hata goli la offside hlf aje awafunge Ruvu magoli ma'4
 
Na Mutasema Sana Mwaka Huu.... Goli 10 tulizonazo Zinawawasha hasa Pale Munapoona Okwi Magoli aliyofunga Peke Yake tu, Ni mara mbili ya Magoli Waliyofunga Yanga Nzima.

Nyinyi Pigeni Majungu! Sisi Tunatandika na Kwenda mbele..
 
Hlf Afisa Mipango wao wa mwaka huu cyo mtu wa mchezoX2,yaani mpango mzima unaanzia kwa Walimu wapanga kikosi,haiwezekani mchezaji asha'prove out of form lkn bado anaendelea tu kuaminiwa.
 
KICHUYA KAPIGA SHOTS ON TARGET NGAPI MBONA HAJAFUNGA? VIPI MBONA AZAM WALIKOMAA? ACHA WIVU WA KIKE
 
Mbona vijana walicheza vizuri tu sema wamezidiwa ujanja na ndipo game ikawa ya simba
Ni kweli kwa kiwango fulani walizidiwa ujanja lkn kwa upande mwingine wameangushwa na yule Kijana wa Julio
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…