Mwadui FC Vs Simba SC

Mwadui FC Vs Simba SC

Mtani leo una nguvu si kawaida.

Hongereni naona mmeona mwezi. [emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]
Hahaha.. Haya ndo mambo tuliyoyazoea huku kwetu.. Mtwara tuliteleza, Mwanza walituroga.. Ila leo shinyanga tulikua makini sana. Sasa gemu inayofuata tuko nanyi Taifa.. Hahaha.. Na mje tu.
 
Kwa mtazamo wangu.. Huyu refa hana siku nyingi katika ligi hii..
1. Kapombe anataka kuvunjwa mguu.. Refa anaangalia
2. Bocco anamgusa kidoooogo, mchezaji wa Mwadui, Refa anatoa umeme
3. Mwadui wanafunga goli la offside kabisa.. Refa anajifanya haoni
Japo tulikua tuna vita kubwa leo.. Nashukuru tumetoka si na pointi 3 tu bali pia magoli kibwena
 
Tusogee Mkuu mida inakaribia.
Ok, kumbe muda wa kwenda kuangalia burudani ya kweli umekaribia acha tusogee
Yaani mechi yenu ya leo ni ...

"Mbuzi wa bwana heri.. Kala shamba la bwana heri.. Kesi imeenda kwa bwana heri.."

Safari njema bwana heri mnapoenda kuamua kesi ya mbuzi wa bwana heri.
 
Kwa mtazamo wangu.. Huyu refa hana siku nyingi katika ligi hii..
1. Kapombe anataka kuvunjwa mguu.. Refa anaangalia
2. Bocco anamgusa kidoooogo, mchezaji wa Mwadui, Refa anatoa umeme
3. Mwadui wanafunga goli la offside kabisa.. Refa anajifanya haoni
Japo tulikua tuna vita kubwa leo.. Nashukuru tumetoka si na pointi 3 tu bali pia magoli kibwena
Boko alistahili redcard hafu kwa umri alionao hakutakiwa kufanya jambo la kitoto kama hilo.
Simba beki zake hazina mbio, Yanga inacheza counter zaidi itakuwa interesting match hapo tarehe 30/9/2018 lakini nahisi uchawi utafanya sana kazi.
 
Huyu refa mpuuzi sana. Mwadui walidhamiria kuumiza vibaya kwa wachezaji wa Simba SC..!
 
Boko alistahili redcard hafu kwa umri alionao hakutakiwa kufanya jambo la kitoto kama hilo.
Simba beki zake hazina mbio, Yanga inacheza counter zaidi itakuwa interesting match hapo tarehe 30/9/2018 lakini nahisi uchawi utafanya sana kazi.
Haina shida. Wakati wao wakihangaika na counter kwetu ni pasi milioni halafu bao.

Ndo falsafa ya Simba sports club
 
Ok, kumbe muda wa kwenda kuangalia burudani ya kweli umekaribia acha tusogee
Hata siku moja burudani haipatikani kwa Makwasukwasu FC. Labda butua butua halafu goooooaal[emoji196][emoji196]
 
Boko alistahili redcard hafu kwa umri alionao hakutakiwa kufanya jambo la kitoto kama hilo.
Simba beki zake hazina mbio, Yanga inacheza counter zaidi itakuwa interesting match hapo tarehe 30/9/2018 lakini nahisi uchawi utafanya sana kazi.
Mkuu niwe mkweli.. Na naongea haya toka katika uvungu wa moyo wangu..

Mpaka sasa sijaona mchezaji yoyote wa Ndala mwenye mbio au akili ya kuupita ukuta huu wa Berlin; Kapombe, Nyoni, Wawa, Tshabalala (Au Kwasi)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom