Hahaha.. Haya ndo mambo tuliyoyazoea huku kwetu.. Mtwara tuliteleza, Mwanza walituroga.. Ila leo shinyanga tulikua makini sana. Sasa gemu inayofuata tuko nanyi Taifa.. Hahaha.. Na mje tu.Mtani leo una nguvu si kawaida.
Hongereni naona mmeona mwezi. [emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]
Ok, kumbe muda wa kwenda kuangalia burudani ya kweli umekaribia acha tusogeeSaa Moja aiseee.
Ligi ya kuogelea ama?Hata mkifunga 10 haisaidii... Yanga ndio wanaongoza ligi
hahahaaa mkuu waache bwana wasije wakajifungia chumbani [emoji23] [emoji23] [emoji23]Yanga tandakikeni vizuri kitanda. Mkao mtachagua wenyewe,mkitaka chuma mboga sawa,mkitaka kifo cha mende,sawa.@demigod
Tusogee Mkuu mida inakaribia.Ok, kumbe muda wa kwenda kuangalia burudani ya kweli umekaribia acha tusogee
Sisi tena tunakuja mboona.Hahaha.. Haya ndo mambo tuliyoyazoea huku kwetu.. Mtwara tuliteleza, Mwanza walituroga.. Ila leo shinyanga tulikua makini sana. Sasa gemu inayofuata tuko nanyi Taifa.. Hahaha.. Na mje tu.
[emoji23] [emoji23] furahi tu mkuu maana hamna namna THIS IS SIMBAA [emoji91] [emoji91]Hahaha.. Mkuu umenifurahisha sana.
Ni moto. Anafunga mabao kwenye mazingira magumu sana!Huyu Kagere Huyu..
Tusogee Mkuu mida inakaribia.
Yaani mechi yenu ya leo ni ...Ok, kumbe muda wa kwenda kuangalia burudani ya kweli umekaribia acha tusogee
Boko alistahili redcard hafu kwa umri alionao hakutakiwa kufanya jambo la kitoto kama hilo.Kwa mtazamo wangu.. Huyu refa hana siku nyingi katika ligi hii..
1. Kapombe anataka kuvunjwa mguu.. Refa anaangalia
2. Bocco anamgusa kidoooogo, mchezaji wa Mwadui, Refa anatoa umeme
3. Mwadui wanafunga goli la offside kabisa.. Refa anajifanya haoni
Japo tulikua tuna vita kubwa leo.. Nashukuru tumetoka si na pointi 3 tu bali pia magoli kibwena
Huyu refa mpuuzi sana. Mwadui walidhamiria kuumiza vibaya kwa wachezaji wa Simba SC..!Kwa mtazamo wangu.. Huyu refa hana siku nyingi katika ligi hii..
1. Kapombe anataka kuvunjwa mguu.. Refa anaangalia
2. Bocco anamgusa kidoooogo, mchezaji wa Mwadui, Refa anatoa umeme
3. Mwadui wanafunga goli la offside kabisa.. Refa anajifanya haoni
Japo tulikua tuna vita kubwa leo.. Nashukuru tumetoka si na pointi 3 tu bali pia magoli kibwena
Haina shida. Wakati wao wakihangaika na counter kwetu ni pasi milioni halafu bao.Boko alistahili redcard hafu kwa umri alionao hakutakiwa kufanya jambo la kitoto kama hilo.
Simba beki zake hazina mbio, Yanga inacheza counter zaidi itakuwa interesting match hapo tarehe 30/9/2018 lakini nahisi uchawi utafanya sana kazi.
Ok vizuri mm sizioni hizo pasi unazosemaHaina shida. Wakati wao wakihangaika na counter kwetu ni pasi milioni halafu bao.
Ndo falsafa ya Simba sports club
Hahahaaaa. Wewe tu MtaniYaani mechi yenu ya leo ni ...
"Mbuzi wa bwana heri.. Kala shamba la bwana heri.. Kesi imeenda kwa bwana heri.."
Safari njema bwana heri mnapoenda kuamua kesi ya mbuzi wa bwana heri.
Hata siku moja burudani haipatikani kwa Makwasukwasu FC. Labda butua butua halafu goooooaal[emoji196][emoji196]Ok, kumbe muda wa kwenda kuangalia burudani ya kweli umekaribia acha tusogee
Mkuu niwe mkweli.. Na naongea haya toka katika uvungu wa moyo wangu..Boko alistahili redcard hafu kwa umri alionao hakutakiwa kufanya jambo la kitoto kama hilo.
Simba beki zake hazina mbio, Yanga inacheza counter zaidi itakuwa interesting match hapo tarehe 30/9/2018 lakini nahisi uchawi utafanya sana kazi.