Mwadui FC Vs Simba SC

Haina shida. Wakati wao wakihangaika na counter kwetu ni pasi milioni halafu bao.

Ndo falsafa ya Simba sports club
Ndala pamoja na wao kubutua butua tangu miaka hiyo.. Sisi falsafa yetu ni gonga gonga ya pasi milioni kabla hatujacheka na nyavu zao.

Alafu niwasaidie Ndala.. Aina ya soka letu, yule gwiji la soka toka uholanzi, Johan Cruyff aliiba toka kwetu, akaongeza maudambwi udambwi akaiita Total Football then akaipeleka Barcelona. Staili hiyo ndo leo wakina Messi wanatamba nayo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Exactly mkuu. Hata kocha Mbelgiji alipofanyiwa Interview na akina Msola aliulizwa unaifahamu falsafa ya Simba? Akasema Naam

Ni kuwa pamoja na ushindi huwa tunawapa burudani washabiki na wanachama wa Simba.
 
Kama Azam vile kwa Simba toka enzi ya Marehemu Mafisango hadi kina John Boko
 
Hahaha.. Ndala sasa hivi wanajifanya wako bize na mechi yao dhidi ya 'tawi lao' Singida. Wafungaji ni.. Bocco 2, MK14 1.
Hahaha walikua wanamfananisha na yule dada yao makambo ngoja 30 ifike dadeki tumetoka kucheza kwenye visuguu tumempga mtu 3 sasa sipat pcha tukiingia pale stadium
 
Bocco kafanya kosa la kishenzi sana, ameigharimu team kwa michezo mitatu au mitano ijayo.

Kibaya zaidi hata kiwango chake kitaathiriwa na tukio hili, yeye ni kiongozi wa team hakuenda uwanjani kucheza boxing. Intact Hajajitofautisha kabisa yeye na NYOSO.

Ni upumbafu kwa mchezaji wa kiwango chake kufanya mambo ya kitoto kama haya.
 
Vyura wanashangilia bocco hatakuepo wanasahau kuna okwi, kaheza na salamba [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Mwadui 1-3 Simba SC

Goli la mwadui lilikua la offside.
Wakati huo huo la Mikia likiwa la penalty ya kupewa,mpaka sasa half time timu ya Wananchi 2 Walima alizeti 0 magoli yote yakifungwa na Amis Joselin Tambwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…