Mwadui FC Vs Simba SC

Mwadui FC Vs Simba SC

Baada ya maafande wa JKT Tanzania kutulindia nafasi yetu kwa mda mrefu.. Hatimae Mnyama karejea kwenye nafasi yake (1).. Mpaka sasa msimamo wa ligi.. Simba SC anaongoza ligi.

Haya sasa Mkuu LAKI si pesa ligi ikiisha mda huu.. Nani atakua bingwa?
Itakuwa akili yako ina matatizo, ligi itaishaje wakati mpo mbele michezo miwili ?
 
Leo mtashinda tu kwani mwadui wepesi sana
Mimi shabiki wa dar young African ndugu, nimeanua kutoa update tu mkuu, ... Na Kwa kiwango hiki cha simba j'pili wajiandae kisaikolojia!!!
 
Hatimae kipindi cha pili kimeanza , matokeo simba wanaongoza goli 2
 
Itakuwa akili yako ina matatizo, ligi itaishaje wakati mpo mbele michezo miwili ?
Mkuu kweli Nina matatizo haswa.. Na matatizo yangu ni kuhifadhi kumbukumbu.. nilichokifanya hapa ni kuwakumbusha mashabiki wenzako wa Ndala, walionzisha hii mada baada ya Ndala kuongoza ligi kwa masaa.
 
Mkuu kweli Nina matatizo haswa.. Na matatizo yangu ni kuhifadhi kumbukumbu.. nilichokifanya hapa ni kuwakumbusha mashabi wenzako wa Ndala, walionzisha hii mada baada ya Ndala kuongoza ligi kwa masaa.
Lakin ndala wako nyuma michezo miwili....Na wana points 9 ujue ..Na jion ya Leo tunarud Kwa kishindo pale juu!!!
 
Mimi shabiki wa dar young African ndugu, nimeanua kutoa update tu mkuu, ... Na Kwa kiwango hiki cha simba j'pili wajiandae kisaikolojia!!!
Ni kweli Mkuu.. Maana siku nyingi hatujamgonga mtu goli zaidi ya 6. Wanasimba wenzangu tunajiandaaje kupokea matokeo ya ushindi mnono kiasi hiki?
 
Lakin ndala wako nyuma michezo miwili....Na wana points 9 ujue ..Na jion ya Leo tunarud Kwa kishindo pale juu!!!
Hahaha.. Ni suala la mda Mkuu. Ila msiingie na matokeo mfukoni maana kuna siku mtoto anamkomalia baba yake.
 
Ma
Ni kweli Mkuu.. Maana siku nyingi hatujamgonga mtu goli zaidi ya 6. Wanasimba wenzangu tunajiandaaje kupokea matokeo ya ushindi mnono kiasi hiki?
Magoli yenyewe mnafunga kimagumashi sana, hizo 6 cjui mtamfunga nani
 
Ma

Magoli yenyewe mnafunga kimagumashi sana, hizo 6 cjui mtamfunga nani
Umemuona Kagere lakini? Kwa hii pace yake, miguvu aliyonayo, akili nyingi anazotumia.. Mtapona kweli?
 
Back
Top Bottom