Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa huu mpira anaocheza thimba hakuna kitu mkuu, mwadui sio kipimo cha kumfunga YangaYanga tandakikeni vizuri kitanda. Mkao mtachagua wenyewe,mkitaka chumba mboga sawa,mkitaka kifo cha mende,sawa.
Mmekutana na litimu la kingeseKagereeeeee,manina kipa kapanchi
Kahongwe na wewe umanue kama MwaduiMohamed Dewji amewahonga wachezaji wa mwadui milioni 10 kila mmoja...
duhh mmeanza kutafuta pa kutokea sio!! nani mjinga ahonge hela.zake kiholela vile[emoji23] [emoji23] [emoji23]Mohamed Dewji amewahonga wachezaji wa mwadui milioni 10 kila mmoja...
pembe la chura wa jangwani [emoji196] [emoji196] [emoji196] [emoji196]Leo msemaji wenu nadhani atapokea!
Maana juzi kati hapo aligomea kupokea simu ya RADIO ONE michezo saa 19:30
MaeeeeDk 67: Mwadui 0-3 Simba SC
Ball Possesion: Mwadui 5½-94½ Simba SC
Hapo tu kwasababu tunaomboleza, walikuwa wanakufa hata 7 haoMaeeee
Simba bila kuhonga hakuna mechi wanashindaduhh mmeanza kutafuta pa kutokea sio!! nani mjinga ahonge hela.zake kiholela vile[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Yanga hawawezi kufungwa na timu mbovu kama SimbaHahaha.. Ndala kila mmoja tutampa 100
nadhani ukweli unaujua ila unajilazimisha kujitoa ufahamu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Simba bila kuhonga hakuna mechi wanashinda