MWafrika kwenye sherehe

MWafrika kwenye sherehe

Joyceline

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2009
Posts
1,010
Reaction score
167
Mwafrica mmoja mwanaume, alialikwa kwenye sherehe na wazungu huko ulaya,
sasa akaamua asivae nguo aende uchi, alipofika wazungu wote wakamzunguka wakamwambia suti yako nzuri ,
Lakini mbona hiyo tai umeifunga chini sana. ( wazungu walivyoona uume wa mwafrika walifikiri tai inaning'inia sasa wakashangaa kwa nini kaifunga chini sana)
 
Last edited:
joyceline imetulia hii, teehhh teehh, nahisi hawakuona mpasuo wa koti la suti kwa nyuma wangeuliza kichekesho zaidi,
 
Miss you Joy.....hiki kituko balaa....siwezi jaribu fanya hayo!
 
Back
Top Bottom