Samia atosha tukutane2030
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 17,728
- 49,762
Mwafrika ndiye mwanadamu ambaye hajawahi kupata raha halisi ya duniani ambayo Mungu aliiweka.
1. Ujima
Zama za ujima Mwafrika alikufa mapema sana, life expectancy yake ilikuwa fupi sana. Baridi, magonjwa ya kitropiki vimemuua sana Mwafrika.
2. Utumwa
Watu kama Waarabu wakamuona Mwafrika kama mtu lakini hana akili timamu but Strong wakaona ni bidhaa.
Akauzwa, kateswa na kazi ngumu, kafa kwenye maji, kafa kwa njaa na magonjwa.
3 . Ukoloni
Hapa kidogo Mwafrika akaanza kupata mwanga. MATESO yakapungua, akashangilia.
4. Uhuru na utumwa mpya.
Mwafrika bado yuko kwenye utumwa wa wahindi na Wachina na mataifa mengine ya mashariki especially bara la Asia. Utumwa uko kwa jina la wawekezaji. Hivi Dunia hii ya leo mtu umlipe dola 2 (sh. 5000 ) kwa siku bado utasema huyo mtu yuko huru?
Utumwa kwa Mwafrika mwenzake.
Waafrika wenye madaraka wamewafanya wenzao watumwa.
Polisi anataka pesa isiyo ya halali kwa Mwafrika mwenzake.
Mamlaka za Kodi wafanyakazi wake wanataka pesa zisizo za halali kutoka kwa Waafrika wenzao.
Wanasiasa wanakula pesa za Waafrika wenzao kinyume na taratibu.
Ni utumwa tu.
Mwafrika utumwa hautamwacha mpaka mwisho wa Dunia.