Patriot missile
JF-Expert Member
- Jun 16, 2024
- 280
- 423
Anaandika Moses Mwaifunga
===
MUONEKANO WA WAJUMBE ENDAPO MBOWE ATATANGAZWA MSHINDI KWA WADAU NA WAPENDA MAGEUZI,
Wakimuona tu mjumbe anacheka watamwangalia mdomoni je alilambiswa nini,wakiona tu mifuko imetuna watamwangalia kwa makini awemeka nini kwenye pochi,mjumbe akipita kwenye ATM ndo kabisa utasikia ndomaana kashinda,asingeweza kushinda,
Nakila siku mjumbe akinunua hata bati huko aliko na hata akifanya jambo lake binafsi la kunywa kasoda atanyanyasika na watahisi ni tuhela twa mwamba,
Mjumbe tafuta muonekano wako wa heshima na utakao kutambulisha niwewe unae jisimamia na unaendana na wakati,
Hakuna njia ya mkato kukwepa haya dawa pekee ni kumchagua Lissu na Heche ili uwe shujaa wa kuendana na wakati,kwanini uteseke na masimango ya bila sababu watu kukuona mlamba asali,mla ruswa,chawa na hata kuonekana kieleele wakati yupo mtu chaguo la wapenda haki na Mabadiliko# ni YEYE,
LISSU NDO CHAGUO LA WENGI WENGINE NI UONGO,TWENDE NA LISSU.
MOSES MWAIFUNGA