Mwaipopo anatafutwa somalia na kawekwa kwenye mkeka.

Fbn

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
15,749
Reaction score
37,420
Kuna mambo mfikishieni huyu mwaipopo wenu wa CCM.

Umewekwa kwenye radar siku jichanganye ufike somalia ndio utajua kuwa kuna watu wanaishi jangwani.

Mwaipopo inasemekana ni moja ya watu waliokwenda kufata mafundisho ya al shabab na somalia wamekunyamazia ila kwa sasa jeshi lao washaanza kupata nguvu na vitendea kazi.

Kama anaweza kwenda au hata kufika kenya niite mbwa hapa.

Nipo nchi za nje nawapa habari.

Na pili la kuhusu recho ni ngumu kumkamata kwa japani labda ili tetemeko lilotokea inawezakana ndio kuwa kimya.
 
Haya Rachel dangwa
Kwani juzi japan ilikuwa na nini au wewe kinyeo cha wana ccm account zenu fahamu uzuri IP zenu naziona zinatokea sehemu moja na mpo active usiku kuanza kufatilia na IT wenu wa uchwara hapo mikocheni na kikosi chenu cha ostabey polisi.
Mfano hata aibu ya kujizuga mumeshindwa .mnaanzisha mada wote mnakuja kwa wakati mgano hapa hizi account na hii ni wewe
 
Ndio kitu gani hiki
 
ok.🐒
 
Aibu sana!
 
Ujinga mtupu.

Taharuki asababishe akiwa Tz
Adhabu apewe na wasomali
Kama sio ussenge ni nini?
 
tetemeko lenyewe limetokea Kumamoto, kwani alikuwa anaishi huko huyo Dangwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…