Fbn
JF-Expert Member
- Jul 31, 2016
- 15,749
- 37,420
Kuna mambo mfikishieni huyu mwaipopo wenu wa CCM.
Umewekwa kwenye radar siku jichanganye ufike somalia ndio utajua kuwa kuna watu wanaishi jangwani.
Mwaipopo inasemekana ni moja ya watu waliokwenda kufata mafundisho ya al shabab na somalia wamekunyamazia ila kwa sasa jeshi lao washaanza kupata nguvu na vitendea kazi.
Kama anaweza kwenda au hata kufika kenya niite mbwa hapa.
Nipo nchi za nje nawapa habari.
Na pili la kuhusu recho ni ngumu kumkamata kwa japani labda ili tetemeko lilotokea inawezakana ndio kuwa kimya.