Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,982
- 51,157
Hawa ndiyo wanasababisha DINI zinatukanwa.Kada mashuhuri wa CCM Saidi Mwaipopo (sheikh?) kasema CCM ni chama kisichoweza kushindwa hivyo akasema watanzania wamuachie Mungu.
Msioamini kuwa Kuna Mungu kina Nyani Ngabu kazi kwenu.