Kutokana na kile kinachoonekana kwamba viongozi wa imani fulani wameenda kumuona Maza na kuendelea kutoa ufafanuzi wa mazungumzo yao na maza;kuna kila dalili kwamba Mwaipopo ataruka tena hewani ku challenge kilichozungumzwa.
Hii ni kutokana na kwamba mdau huyo yupo mbele ya watu fulani wanaofadhili mihadhara yake na kufanya mazingira yaonekane kwamba hapa kuna tatizo la imani na kwamba hoja sio mambo yamekorogeka isipokuwa imani ya mtu ndiyo inayoshambuliwa.
Akili za yule ni za kisoda na harakati zake kazigeuza kama mradi wa kujipatia kipato kwa kufanya majibizano na watu wanaoshauri utawala wa malkia Benardeta.
Take my note;atakuja na counter attack ya hatari. Very soon