Hana akili ya kuwakabiri viongozi wa wakatoliki.Kutokana na kile kinachoonekana kwamba viongozi wa imani fulani wameenda kumuona Maza na kuendelea kutoa ufafanuzi wa mazungumzo yao na maza;kuna kila dalili kwamba Mwai Pawpaw ataruka tena hewani ku challenge kilichozungumzwa.
Hii ni kutokana na kwamba mdau huyo yupo mbele ya watu fulani wanaofadhili mihadhara yake na kufanya mazingira yaonekane kwamba hapa kuna tatizo la imani na kwamba hoja sio mambo yamekorogeka isipokuwa imani ya mtu ndiyo inayoshambuliwa.
Akili za yule ni za kisoda na harakati zake kazigeuza kama mradi wa kujipatia kipato kwa kufanya majibizano na watu wanaoshauri utawala wa malkia Benardeta.
Take my note;atakuja na counter attack ya hatari. Very soon
Ishu sio PhD mkuu. Kina malalsusa wa kkkt huko ni ma PhD holders lkn angalia walivo vyawa wengi wao.Kuna watu ni wapumbavu sana Aisee......
Yule kichaa agawajibu nini wasomi na waliokula shule kama wale Jamaa.......
Wale ni PhD...
Acha kufananisha PhD na hiyo takataka.
PUMBAVU KABISA.
Yeye hana hio busara unayofikiria lazima atakuja na maujinga mengiHana akili ya kuwakabiri viongozi wa wakatoliki.
Huyo ataishia kuvuma kama difu mbovu
Sahihisha hapo kwenye Malikia Bernadeta. Huyu wa kwetu ni JezebelKutokana na kile kinachoonekana kwamba viongozi wa imani fulani wameenda kumuona Maza na kuendelea kutoa ufafanuzi wa mazungumzo yao na maza;kuna kila dalili kwamba Mwaipopo ataruka tena hewani ku challenge kilichozungumzwa.
Hii ni kutokana na kwamba mdau huyo yupo mbele ya watu fulani wanaofadhili mihadhara yake na kufanya mazingira yaonekane kwamba hapa kuna tatizo la imani na kwamba hoja sio mambo yamekorogeka isipokuwa imani ya mtu ndiyo inayoshambuliwa.
Akili za yule ni za kisoda na harakati zake kazigeuza kama mradi wa kujipatia kipato kwa kufanya majibizano na watu wanaoshauri utawala wa malkia Benardeta.
Take my note;atakuja na counter attack ya hatari. Very soon
wakishamtumia kama kondomu watamshika na kumtupa as if hajawahi kuwatumikiaAkili za yule ni za kisoda na harakati zake kazigeuza kama mradi wa kujipatia kipato kwa kufanya majibizano na watu wanaoshauri utawala wa malkia Benardeta.
Kama ataachwa tena aongee ujinga wake,basi ni mwanzo "mzuri sana" wa kuharibu hata hicho kidogo kilichojadiliwa na TEC.Kumuacha abwatuke upuuzi itakamilisha hisia kwamba anamilikiwa na kutumwa afanye kitu kipi kwa wakati upi!Hilo lipo mikononi mwao.Kutokana na kile kinachoonekana kwamba viongozi wa imani fulani wameenda kumuona Maza na kuendelea kutoa ufafanuzi wa mazungumzo yao na maza;kuna kila dalili kwamba Mwaipopo ataruka tena hewani ku challenge kilichozungumzwa.
Hii ni kutokana na kwamba mdau huyo yupo mbele ya watu fulani wanaofadhili mihadhara yake na kufanya mazingira yaonekane kwamba hapa kuna tatizo la imani na kwamba hoja sio mambo yamekorogeka isipokuwa imani ya mtu ndiyo inayoshambuliwa.
Akili za yule ni za kisoda na harakati zake kazigeuza kama mradi wa kujipatia kipato kwa kufanya majibizano na watu wanaoshauri utawala wa malkia Benardeta.
Take my note;atakuja na counter attack ya hatari. Very soon
Deterrent measures.Kutokana na kile kinachoonekana kwamba viongozi wa imani fulani wameenda kumuona Maza na kuendelea kutoa ufafanuzi wa mazungumzo yao na maza;kuna kila dalili kwamba Mwaipopo ataruka tena hewani ku challenge kilichozungumzwa.
Hii ni kutokana na kwamba mdau huyo yupo mbele ya watu fulani wanaofadhili mihadhara yake na kufanya mazingira yaonekane kwamba hapa kuna tatizo la imani na kwamba hoja sio mambo yamekorogeka isipokuwa imani ya mtu ndiyo inayoshambuliwa.
Akili za yule ni za kisoda na harakati zake kazigeuza kama mradi wa kujipatia kipato kwa kufanya majibizano na watu wanaoshauri utawala wa malkia Benardeta.
Take my note;atakuja na counter attack ya hatari. Very soon
Nimecheka sanaIshu sio PhD mkuu. Kina malalsusa wa kkkt huko ni ma PhD holders lkn angalia walivo vyawa wengi wao.
Suala hapa ni mifumo ya rc huwezi ichezea kwa interests zako tuu eti kisa wewe askofu.