BABA-D
JF-Expert Member
- Jul 23, 2015
- 1,228
- 1,016
Mimi ni mfanyakazi na nimefanya kazi kwa takribani miaka 11 kwenye taasisi hii. Nilikuwa naingia mikataba ya miaka miwili miwili halafu na-rew. Sasa ilipofika mwaka 2015 mwajiri alininipa mkataba wa permanent kama ku-comply na matakwa ya CRDB ambao walisema ili mwajiriwa apate mkopo katika benki yao ni lazima awe kwenye permanent employment.
Sasa mwajiri nimehisi anataka kupunguza wafanyakazi ambao wana angalau scale kubwa kidogo ili achukue hawa wanaotoka vyuo maana anawalipa kidogo.
Hoja yangu iko hivi nilipewa mkataba mwingine mwezi wa 11 mwaka huu ukiwa unasema umeanza tarehe 01-07-2024 na utaisha tarehe 30-06-2025. Huu mkataba nimegoma kuusaini maana hauna haki kama Gratuity 10% na paternity leave kama zilivyokuwa kwenye ule mkataba wa permanent..
Kutokana na hilo sasa mwajiri amegoma kunilipa mshahara wa mwezi November mpaka nisaini mkataba alionipa..
Please naomba ushauri wenu