Kama masharti ya mkataba yanasema hivyo hakuna shida kabisa..Hivi majuzi timu ya mpira wa miguu ya Simba baada ya kikao cha kamati ya nidhamu iliadhimia kumpeleka mchezaji Jonas Mkude kupima afya ya akili Mhimbili.
Swali iko wapi haki ya Siri ya afya ya mwajiriwa? Je, endapo Mkude atakataa kwenda hospital Simba watamfanya nini?
Na vipi Mkude akiamua kufungua madai dhidi ya daktari na hospital itayoendesha fidia na kudai mamilio ikiwa matokeo ya madhara ya vipimo?
Ulaya hawapimi ukiwa tayari mwajiriwa Bali kabla ya kuajiriwa. Pia sikumbuki kama huwa wanapima afya ya akiliKuna baadhi ya kazi ni haki kupimwa na mwajiri kupata vipimo..Mpira ni mojawapo.Hata Ulaya tunaona hili linafanyika kabla ya klabu kununua mchezaji,anapimwa na kujiridhisha.
Afya ya akili,unasema wewe.Ulaya hawapimi ukiwa tayari mwajiriwa Bali kabla ya kuajiriwa. Pia sikumbuki kama huwa wanapima afya ya akili
Pia inategemea na nature ya kazi mfano huwezi kuruhusu mtu mwenye shida ya kupumua kama pumu. Aingie kwenye mashimo ya kuchimba madini na lazi zote za namna hiyo
Tumia akili kufikiria na Rudi kwenye barua iliyoandikwa na club ya Simba, nadhani wewe tayari wewe umeingia kwenye ushabiki, Kwa mawazo yako unadhani ataenda kupima Choo au mkojo? Ama umesikia ana majeraha ya goti au enka?Afya ya akili,unasema wewe.
Wao wamesema afya