Bak byzo I.T
JF-Expert Member
- Jun 29, 2014
- 266
- 125
Mwajiri wangu anataka niajiri lakini anasema ni lazima nijiunge na NSSF TU,
Kwa sababu yeye amejisajilia na mfuko huo.
Lakini mie binafsi sijawa tayari na mfuko uwo, kwa sababu zangu ambazo sitataka kuzibqinisha apa jamvini. Na ningependa atumie PSPF. Lakini hataki.
Je nimfanyaje???