Mtafutaji Asiyechoka
Member
- Feb 15, 2021
- 77
- 88
For non teaching staff ni kama ifuatavyoHabari wakuu.
Mimi sio mwajiriwa ila ni mtafutaji ambaye ikitokea nkaingia kwenye mfumo basi ntakuwa kwenye daraja la TGS E.
Kujua jambo ni vyema sana, mimi nilikuwa mnufaika wa bodi ya mikopo (HESLB). Napenda kujua taasisi husika kama NHIF, NSSF, PSSSF, HESLB na TRA (PAYE) wanakata kwa asilimia ngapi kila mmoja?
Thread closedFor non teaching staff ni kama ifuatavyo
Basic 950000
PAYE 96500
NHIF 28500
PSSSF 47500
HESLB 142500
For teachers ni kama
Basic 940000
PAYE 96000
NHIF 28000
PSSSF 47000
HESLB 141000
Why closed wakati siyo kweli,,waalimu hawalipwi kwenye TGSThread closed
For non teaching staff ni kama ifuatavyo
Basic 950000
PAYE 96500
NHIF 28500
PSSSF 47500
HESLB 142500
For teachers ni kama
Basic 940000
PAYE 96000
NHIF 28000
PSSSF 47000
HESLB 141000
umedanganyaFor non teaching staff ni kama ifuatavyo
Basic 950000
PAYE 96500
NHIF 28500
PSSSF 47500
HESLB 142500
For teachers ni kama
Basic 940000
PAYE 96000
NHIF 28000
PSSSF 47000
HESLB 141000
Mtu alie na degree ya ICT halmashauri/Wizarani anaanza na TGS E(huyu nimemterm kama non teaching staff) na basic yake huwa ni 950000 ila mwalimu mwenye degree halmashauri E yake huwa ni 940000 na huyu analipwa TGTS E,hapo tofauti ni elfu kumi tu,nilimpa nyongeza muuliza swali ili asije kuuliza tenaumedanganya
kwa teaching and non teaching staff na TGSE zinamahusiano gani
Hapo huenda huyo mwenye ICT Degree anaanza na TGS E.2 na huyo wa ualimu anaanza na TGTS E.1Mtu alie na degree ya ICT halmashauri/Wizarani anaanza na TGS E(huyu nimemterm kama non teaching staff) na basic yake huwa ni 950000 ila mwalimu mwenye degree halmashauri E yake huwa ni 940000 na huyu analipwa TGTS E,hapo tofauti ni elfu kumi tu,nilimpa nyongeza muuliza swali ili asije kuuliza tena
Mkuu hii ni kwa scale mpya iliyotangawa juzi ya 23%?For non teaching staff ni kama ifuatavyo
Basic 950000
PAYE 96500
NHIF 28500
PSSSF 47500
HESLB 142500
For teachers ni kama
Basic 940000
PAYE 96000
NHIF 28000
PSSSF 47000
HESLB 141000
Hakuna mwalimu hii nchi ambaye initial salary ni TGTS EHapo huenda huyo mwenye ICT Degree anaanza na TGS E.2 na huyo wa ualimu anaanza na TGTS E.1
Sent from my SM-M115F using JamiiForums mobile app
Walimu wa vyuo vya ualimu wanaanza TGTS E dingiiiiiHakuna mwalimu hii nchi ambaye initial salary ni
Mwalimu wa vyuo wanaanza na TGTS E jombaaaHakuna mwalimu hii nchi ambaye initial salary ni TGTS E
Kodi hawakatwi?Thread closed
Kodi mbona hujawekaFor non teaching staff ni kama ifuatavyo
Basic 950000
PAYE 96500
NHIF 28500
PSSSF 47500
HESLB 142500
For teachers ni kama
Basic 940000
PAYE 96000
NHIF 28000
PSSSF 47000
HESLB 141000
PAYE ni nini jombaaKodi mbona hujaweka
Ni wapi huko jombaa? Hujawahi kuujua utamu wa serikali kuu wewe.Hayo ni mawazo ya kimaskini.
Yaani tgs ni mfumo wa kuwalipa wajingawajinga wa serikali kuu na tawala za mikoa.
Kwa elimu yako let's say ni engineer wenzako wanaanza na mil. 2.5 wewe bado unawaza TGS.
Pambana
Rubbish spermsHayo ni mawazo ya kimaskini.
Yaani tgs ni mfumo wa kuwalipa wajingawajinga wa serikali kuu na tawala za mikoa.
Kwa elimu yako let's say ni engineer wenzako wanaanza na mil. 2.5 wewe bado unawaza TGS.
Pambana
Hayo ni mawazo ya kimaskini.
Yaani tgs ni mfumo wa kuwalipa wajingawajinga wa serikali kuu na tawala za mikoa.
Kwa elimu yako let's say ni engineer wenzako wanaanza na mil. 2.5 wewe bado unawaza TGS.
Pambana