Mwajiriwa wa serikali wa TGS E anakatwa kiasi gani kwenye kila mshahara wake?

Wakufunzi wamesomea nini? Si ualimu au wao wana degree za nini? Au wao wanavyuo vyao tofauti na wanavyosima hawa walimu wengine?
Tofauti Hapo ni wanafunzi wanaofundishwa, vyuoni wakihitimu wanakuwa ni professionals ila mwanafunzi akihitimu elimu ya msingi au sekondari Bado anakuwa Hana taaluma yoyote.

Hicho ndo kinachotofautisha wakufunzi na walimu, kuhusu Mwalimu na mkufunzi wote kusoma chuo kimoja na kozi moja hilo keep constant.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…