GE2025 Mwajuma wa UMD kuigawa Tanzania kimajimbo akipata Urais

GE2025 Mwajuma wa UMD kuigawa Tanzania kimajimbo akipata Urais

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,153
Mgombea wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Union for Multiparty Democracy (UMD), Mwajuma Noty Mirambo, amesema kuwa akichaguliwa kuwa Rais wa Tanzania atahakikisha anaigawa Tanzania kwa Majimbo. Ameyasema hayo kwenye uzinduzi wa kampeni za chama chake kwenye Soko la Mitumba Muheza, Tanga.

Soma Pia: GE2025 - Mgombea wa Urais UMD Mwajuma Noty Mirambo: Tunaamini katika sera za majimbo, kila mtanzania pale alipo atafurahia uchumi wa eneo lake
 
Back
Top Bottom