SI KWELI Mwaka 1975 Iddi Amini Dada alimtumia barua malkia Elizabeth wa Uingereza akitaka amuoe

SI KWELI Mwaka 1975 Iddi Amini Dada alimtumia barua malkia Elizabeth wa Uingereza akitaka amuoe

Baada ya kuitathmini taarifa hii, tumebaini kuwa si ya kweli.
Sina mashaka na akili ya Idd Amini lakini nahitaji kujua kama ni kweli aliwahi kumuandikia barua Qn Elizabeth barua ya kumtaka amuoe na mwisho awe mfalme wa uingireza.

Yapo mambo mengi sana ya mashujaa wetu wa afrika historia zetu hazikuyaweka bayana.

Je hili jambo linaukweli?
FB_IMG_1758472988393.jpg
 
Tunachokijua
Madai

Kumekuwa na taarifa zinazosambaa katika mitandao mbalimbali ya kijamii kwa muda mrefu zikielez kuwa aliyekuwa Rais wa Uganda, Idi Amin Dada aliandika barua ya mapenzi kwa aliyekuwa malkia wa Uingereza, Elizabeth wa pili mwaka 1975.

Uhalisia

JamiiCheck imefuatilia taarifa hiyo na kujiridhisha kuwa hakuna kumbukumbu yoyote inayoelezea kuhusu taarifa hiyo.

Ufuatiliaji kupitia vyanzo na machapisho ya kihistoria hayaoneshi uwepo wa kuandikwa kwa barua hiyo kutoka kwa Idd Amin kwenda kwa Malikia Elizabeth II yenye viashria vya kimapenzi kama inavyodaiwa katika taarifa mbalimbali.

Kumbukumbu zinaonesha uwepo wa barua iliyoandikwa mwaka 1972 kutoka Entebe, Uganda kwa Rais Idd Amin kwenda Westminster, London kwa Malkia Elizabeth II. Barua hii ilikuwa ni ya mualiko wa kumtaka Malkia ahudhurie sherehe za miaka 10 ya uhuru nchini Uganda.

Barua hiyo ya Januari 10, 1972 Rais Amin alianza kwa kumtakia heri ya mwaka mpya Malkia na kushukuru kwa ushirikiano uliozaa matunda uliopo baina ya mataifa hayo mawili na kuendelea kueleza matamanio yake ya kuuona ushirikioano huo ukiendelea.

Kisha Amin akaendelea kueleza dhumuni la mualiko huo ambao lengo kubwa ni kwa ajili ya sherehe za miaka 10 ya uhuru wa Uganda zilizopangwa kufanyika October, 1972 nchini humo.

====

Barua ya Mwaka 1972 kutoka kwa Jenerali Amin kwenda kwa Malkia Elizabeth

State House
Entebbe
Uganda
Confidential

10th January 1972

Your Majesty,

It is with great pleasure that I take the opportunity of writing to you to wish you a Happy New Year and a very successful 1972. The past year has seen a great deal of fruitful cooperation and understanding between your Government and mine, and between the people of Great Britain and the Republic of Uganda. It is my wish and desire that this good relationship continues with greater strength in the coming year.

I should like here to place on record on behalf of myself, my government and the people of Uganda our deep appreciation for the good work that your subjects have been doing in Uganda over the years and for assistance that your government has rendered to Uganda, especially in 1971. I am confident that with the good will and understanding of friendly nations like yours, the big problems that we face in this country will be overcome successfully.

I should here like to inform Your Majesty that the Republic of Uganda will be celebrating her 10th Anniversary of Independence on 9th October, 1972. It would do my Government and my country a great honour if your Majesty could grace these celebrations, which will be special to us, with your presence, in the company of your husband and the rest of your family. I have no doubt that such a visit would go a long way towards strengthening the bonds of friendship that already exist between your Country and ours.

It is my hope that Your Majesty will be disposed to accept our invitation, in which case we shall be happy to send you a detailed programme for the approval of yourself and your officers.

Allow me, to renew to Your Majesty, the assurances of my highest consideration and esteem.
Yours Very Sincerely
General Idi Amin Dada
President of the Republic of Uganda.

Her Majesty, Queen Elizabeth II, Buckingham Palace, Westminster, London,SW
Madai kwamba Idi Amin Dada alituma barua kwa Malkia Elizabeth wa Uingereza kumtaka amuoe ni ya kweli. Ushahidi unaonyesha kwamba Idi Amin Dada alituma barua kwa Malkia Elizabeth II, lakini haikuwa barua ya mapenzi kama ilivyoripotiwa sana.

Barua hiyo ilikuwa sehemu ya mfululizo wa mawasiliano kati ya Idi Amin na Malkia, ikiwa ni pamoja na mwaliko wa kujiunga na sherehe za kuadhimisha miaka 10 ya uhuru wa Uganda. Hata hivyo, inaonekana kwamba Idi Amin Dada alieleza nia yake ya kuolewa na Malkia, lakini hii inawezekana ilikuwa sehemu ya jaribio lake la kutaka kutambuliwa kimataifa na uhalali badala ya ishara ya kweli ya kimapenzi.

Katika kuthibitisha hilo ndio barua ambayo alituma kwa malikia Elizabeth

State House
Entebbe
Uganda
Confidential

10th January 1972

Your Majesty,

It is with great pleasure that I take the opportunity of writing to you to wish you a Happy New Year and a very successful 1972. The past year has seen a great deal of fruitful cooperation and understanding between your Government and mine, and between the people of Great Britain and the Republic of Uganda. It is my wish and desire that this good relationship continues with greater strength in the coming year.

I should like here to place on record on behalf of myself, my government and the people of Uganda our deep appreciation for the good work that your subjects have been doing in Uganda over the years and for assistance that your government has rendered to Uganda, especially in 1971. I am confident that with the good will and understanding of friendly nations like yours, the big problems that we face in this country will be overcome successfully.

I should here like to inform Your Majesty that the Republic of Uganda will be celebrating her 10th Anniversary of Independence on 9th October, 1972. It would do my Government and my country a great honour if your Majesty could grace these celebrations, which will be special to us, with your presence, in the company of your husband and the rest of your family. I have no doubt that such a visit would go a long way towards strengthening the bonds of friendship that already exist between your Country and ours.

It is my hope that Your Majesty will be disposed to accept our invitation, in which case we shall be happy to send you a detailed programme for the approval of yourself and your officers.

Allow me, to renew to Your Majesty, the assurances of my highest consideration and esteem.
Yours Very Sincerely
General Idi Amin Dada
President of the Republic of Uganda.

Her Majesty, Queen Elizabeth II, Buckingham Palace, Westminster, London,SW




FCO57-401_0001-scaled.jpg
 
Hii hapa ndio speech yake....

" My majesty Mr. Queen Sir, horrible ministers and members of parliament, invented Guests, ladies under gentlemen. I hereby thank you completely… Mr. Queen, sir; and also what he has done for me and my fellow Uganda who come with me.

We have really eaten very much. And we are fed up completely: And also very thanks to you keenly open up from all windows: so that those plenty climates can come into lunch. But before I go back to my country with a plane from the Entebbe airport of London I wish to invitation you Mr. Queen, to become home to Uganda so that we can also revenge on you.
You will eat a full cow: and also feel up your stomach and walk with difficult because of full stomach completely.
1758753294679.png
 
Sina mashaka na akili ya Idd Amini lakini nahitaji kujua kama ni kweli aliwahi kumuandikia barua Qn Elizabeth barua ya kumtaka amuoe na mwisho awe mfalme wa uingireza.

Yapo mambo mengi sana ya mashujaa wetu wa afrika historia zetu hazikuyaweka bayana.

Je hili jambo linaukweli?View attachment 3477101
Kazi nzuri sana ya kuhakiki taarifa, jukwaa hili limekuwa msaada mkubwa sana dhidi ya upotoshaji wa taarifa
 
Back
Top Bottom