MamaSamia2025 JF-Expert Member Joined Mar 29, 2012 Posts 14,588 Reaction score 32,361 Sep 27, 2022 #41 Jocasta said: Huu ujinga peleka kule Fbook Click to expand... Acha kuudharau mtandao wa Facebook. Ule mtandao bado nd mtandao wenye nguvu zaidi duniani kwa upande wa mitandao ya kijamii.
Jocasta said: Huu ujinga peleka kule Fbook Click to expand... Acha kuudharau mtandao wa Facebook. Ule mtandao bado nd mtandao wenye nguvu zaidi duniani kwa upande wa mitandao ya kijamii.
Mahondaw JF-Expert Member Joined Apr 9, 2013 Posts 67,252 Reaction score 168,563 Sep 27, 2022 #42 National Anthem said: Shangazi umeanza lini fix πππ.. Usema kweli hata baba na mama walikuwa hajuani bado hiyo 2000 Click to expand... khakhakhaaaa
National Anthem said: Shangazi umeanza lini fix πππ.. Usema kweli hata baba na mama walikuwa hajuani bado hiyo 2000 Click to expand... khakhakhaaaa
Kinengunengu JF-Expert Member Joined May 3, 2021 Posts 1,716 Reaction score 4,375 Sep 27, 2022 #43 Nimemaliza form six Galanos Secondary kwenye combination ya CBA
Ulimakafu JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 31,248 Reaction score 13,244 Sep 27, 2022 #44 Mawawa said: Mimi naanza nilikuwa darasa la kwanza. Haya twende tiririka. Click to expand... Mi nikiwa na 3rd born...
Mawawa said: Mimi naanza nilikuwa darasa la kwanza. Haya twende tiririka. Click to expand... Mi nikiwa na 3rd born...
Mahondaw JF-Expert Member Joined Apr 9, 2013 Posts 67,252 Reaction score 168,563 Sep 27, 2022 #45 Kakalake Ushimen wewe huo mwaka ulikua langapi??π
Vesuvius JF-Expert Member Joined Jun 27, 2021 Posts 2,478 Reaction score 5,102 Sep 27, 2022 #46 Fredinho said: umenikumbusha mbali sana aisee,na Hadija Kopa akatoa na wimbo wa y2k Click to expand... Ilikuwa gumzo..sikuwa hata najua ni kitu gani y2k mzee akanielekeza maana yake
Fredinho said: umenikumbusha mbali sana aisee,na Hadija Kopa akatoa na wimbo wa y2k Click to expand... Ilikuwa gumzo..sikuwa hata najua ni kitu gani y2k mzee akanielekeza maana yake
Baba wa mbingu JF-Expert Member Joined Jul 30, 2022 Posts 286 Reaction score 749 Sep 27, 2022 #47 Mawawa said: Mimi naanza nilikuwa darasa la kwanza. Haya twende tiririka. Click to expand... mhh ndo kwanzaa nlikuwa namiaka miwili kijana wa mbauda
Mawawa said: Mimi naanza nilikuwa darasa la kwanza. Haya twende tiririka. Click to expand... mhh ndo kwanzaa nlikuwa namiaka miwili kijana wa mbauda