MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 14,588
- 32,361
Acha kuudharau mtandao wa Facebook. Ule mtandao bado nd mtandao wenye nguvu zaidi duniani kwa upande wa mitandao ya kijamii.Huu ujinga peleka kule Fbook
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha kuudharau mtandao wa Facebook. Ule mtandao bado nd mtandao wenye nguvu zaidi duniani kwa upande wa mitandao ya kijamii.Huu ujinga peleka kule Fbook
khakhakhaaaaShangazi umeanza lini fix 😊😊😊.. Usema kweli hata baba na mama walikuwa hajuani bado hiyo 2000
Mi nikiwa na 3rd born...Mimi naanza nilikuwa darasa la kwanza.
Haya twende tiririka.
Ilikuwa gumzo..sikuwa hata najua ni kitu gani y2k mzee akanielekeza maana yakeumenikumbusha mbali sana aisee,na Hadija Kopa akatoa na wimbo wa y2k
mhh ndo kwanzaa nlikuwa namiaka miwili kijana wa mbaudaMimi naanza nilikuwa darasa la kwanza.
Haya twende tiririka.