Mwaka 2002 nilitupiwa Majini pale Ilala. Yakaja yakakuta nakula kitimoto

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2013
Posts
14,762
Reaction score
32,386
Hii hadithi ni ya kweli kabisa. Kwa wakazi wa Ilala wachache wanaweza kuwa wanaikumbuka. Sitotaja details nyingi lakini kwa wale wanaofahamu maeneo yale ya Shariff. Nilipanga kule

Si haba miaka hiyo nina kausafiri kangu kama mnazifahamu Toyota Baloon. (Kama sasa vijana wanavyohangaika na Toyota Crown) Mimi nlikuwa nayo nyeupe.

Ile nyumba nlikuwa naishi ilikuwa ya ustaadhi flani kwenye msikiti mmoja hivi hapo hapo Ilala. Sitotoa details nyingi sitaki watu wachanganyikiwe.

Tatizo na baba mwenye nyumba lilikuwa ni wivu tu. Sababu mimi miaka hiyo nina gari na watoto wake wakubwa hawana mbele wala nyuma. Wavuta bhangi tu.

Pili nlikataa kuwa na uhusiano na mtoto wake Aisha. Aisha alikuwa ananitega kwa kila namna. Akashindwa. Na inasemekana alikuwa anatumwa na baba yake. Ili siku nikijichanganya tu niozeshwe. Mimi mhuni kitambo. Nliepuka mitego yote.

Mwishowe mzee wake aliamua kutuma majini. Mimi nlishajifunza kula kitimoto huko mkoani nikiwa shule. So kuna kipindi nilikuwa jioni nikirudi napitia kitimoto na ndizi na kinywaji nije nile home.

Siku hiyo yametumwa nimekuja na kitimoto. Ilikuwa balaa... Yalitoka kumrudia mzee baba mwenye nyumba yakamtandika vibao sana. Akaja kwangu anatukana ameshika bakola eti anichape. Nikamwambia pumbavu jaribu uone moto wake. Alitukana sana kuwa naleta kharamu nyumbani kwake.

Ila yeye hakuona ushirikina na kumla mama mmoja mpangaji wa jirani muuza Maandazi ni kharamu. Aliona mimi tu kula kitimoto ni hatari. Aliniambia ananirudishia kodi ya miezi 3 nihame haraka sana. Nilihama. Toka siku hiyo nikagundua ahhaaaaah... Kumbe ndo maana. Basi nikaanza kugonga sana na mifupa mingine naweka home.
 
Mkuu kabla hujaondoka ungekula binti yake Aisha. Ungekua umeondoka kibabe
 
Yule bwege angeniozesha ndoa ya mkeka. Nlikwepa huo mtego bint yake mwenyewe pia alikuwa si type yangu kamekaukaaa na kana mdomo sana. Kakiwa home utajua tu kuwa leo kapo kanaongea sana. kakitembea kanajibenua tako ambalo hakana.
 
20250830_173305.jpg
 
Ili Kuendelea kusikiliza vichekesho ivi bonyeza *
 
Hii hadithi ni ya kweli kabisa. Kwa wakazi wa Ilala wachache wanaweza kuwa wanaikumbuka. Sitotaja details nyingi lakini kwa wale wanaofahamu maeneo yale ya Shariff. Nilipanga kule

Si haba miaka hiyo nina kausafiri kangu kama mnazifahamu Toyota Baloon. (Kama sasa vijana wanavyohangaika na Toyota Crown) Mimi nlikuwa nayo nyeupe.

Ile nyumba nlikuwa naishi ilikuwa ya ustaadhi flani kwenye msikiti mmoja hivi hapo hapo Ilala. Sitotoa details nyingi sitaki watu wachanganyikiwe.

Tatizo na baba mwenye nyumba lilikuwa ni wivu tu. Sababu mimi miaka hiyo nina gari na watoto wake wakubwa hawana mbele wala nyuma. Wavuta bhangi tu.

Pili nlikataa kuwa na uhusiano na mtoto wake Aisha. Aisha alikuwa ananitega kwa kila namna. Akashindwa. Na inasemekana alikuwa anatumwa na baba yake. Ili siku nikijichanganya tu niozeshwe. Mimi mhuni kitambo. Nliepuka mitego yote.

Mwishowe mzee wake aliamua kutuma majini. Mimi nlishajifunza kula kitimoto huko mkoani nikiwa shule. So kuna kipindi nilikuwa jioni nikirudi napitia kitimoto na ndizi na kinywaji nije nile home.

Siku hiyo yametumwa nimekuja na kitimoto. Ilikuwa balaa... Yalitoka kumrudia mzee baba mwenye nyumba yakamtandika vibao sana. Akaja kwangu anatukana ameshika bakola eti anichape. Nikamwambia pumbavu jaribu uone moto wake. Alitukana sana kuwa naleta kharamu nyumbani kwake.

Ila yeye hakuona ushirikina na kumla mama mmoja mpangaji wa jirani muuza Maandazi ni kharamu. Aliona mimi tu kula kitimoto ni hatari. Aliniambia ananirudishia kodi ya miezi 3 nihame haraka sana. Nilihama. Toka siku hiyo nikagundua ahhaaaaah... Kumbe ndo maana. Basi nikaanza kugonga sana na mifupa mingine naweka home.
Kitimoto ni kiboko ya majini,wafuga majini hawaipendi kwa sababu hiyo wala si kingine.
 
Back
Top Bottom