BARD AI
JF-Expert Member
- Jul 24, 2018
- 3,591
- 8,826
Agosti 26, 2012, Mtandao wa Reuters uliripoti kuwa Wizara ya Uchukuzi kupitia Serikali ya Yemen ilianza mawasiliano na Wakala Mwendeshaji wa Bandari anayemilikiwa na Serikali ya Dubai (DP World) ili kuvunja mkataba wa kuendesha Bandari ya Aden.
"Bodi ya Ghuba ya Aden Ports Corp imeamua kufuta makubaliano na DP World. Kuna mawasiliano na DP World ili kukamilisha mchakato wa kughairi makubaliano hayo kwa amani," afisa aliyekataa kutajwa jina aliiambia Reuters.
Alisema pande hizo mbili zitatumia usuluhishi wa kimataifa iwapo haziwezi kufikia muafaka. Msemaji wa DP alipotafutwa kujibu swali la Reuters, alisema "Hatutoi maoni juu ya uvumi wa vyombo vya habari."
Mnamo Juni shirika la kupambana na ufisadi la Yemen lilisema lingeliomba Bunge kusaidia kufuta Mkataba huo na kampuni ya DP World ambayo ni ya tatu kwa ukubwa kwa uendeshaji Bandari duniani, huku ikidai kampuni hiyo imeshindwa kutekeleza miradi ya uwekezaji kwa wakati. Wakati huo, DP World ilisema madai hayo yalikuwa "ya kupotosha na hayana msingi".
==============
The port authority in the Yemeni city of Aden has begun contacts with Dubai government-owned port operator DP World on cancelling a contract to manage Aden port, a senior Yemeni transport ministry official said on Sunday.
“The board of Gulf of Aden Ports Corp decided to cancel the agreement with DP World. There are contacts with DP World to complete the process of cancellation amicably,” the official, who declined to be named under briefing rules, told Reuters.
He said the decision had been taken on Saturday and the two parties would use international arbitration if they could not reach an agreement.
In response to a Reuters query, a DP World spokeswoman said on Sunday: “We do not comment on media speculation.”
In June the impoverished country’s anti-corruption body said it would ask parliament to cancel the deal with the world’s third largest port operator, claiming the company had failed to carry out investment projects on time. At the time, DP World said the allegations were “misleading and unfounded”.
Yemen, which has been mired in political strife during the Arab uprisings over the past year, signed a contract with DP World in 2008 to develop and run the port, whose strategic location at the mouth of the Red Sea once made it a vital stop for ships bound for the Suez Canal. The agreement stipulates $220 million of investment to develop the port.
Early this year Yemeni transport minister Waed Abdullah Bathib told Reuters the company had missed a target of raising container capacity to 900,000 20-foot equivalent container units by the end of 2011, and had failed to build and provide infrastructure as specified in the 2008 agreement.
REUTERS