Mpasuko utaanzia wapi kwa chama kama hiki ambacho hakina makundi?Wewe siasa huijui, mwaka ambao CCM waliona aibu kuvaa kijani ni 2010. Pia baadaye mwaka huu CCM itakuwa na mpasuko wa aina yake! Endelea kuwa mpenzi mtazamaji.
Ni kweli hakuna makundi. Ni kweli kabisa hakuna, mwenye nalo ana gubuMpasuko utaanzia wapi kwa chama kama hiki ambacho hakina makundi?
Unataka watu waozee jera?Dah ila kweli ivumayo sana hupasuka, yaani kitaa hamna tena chochote kinachoashiria uhai wa Chadema. Sio gwanda, scarf wala bendera nyuma ya bodaboda. Hakuna anaejihusisha na chadema tena hadi bodaboda wamewatenga makamanda.
Chadema ilizaliwa, ikalelewa na walezi wasanii ikadumaa sasa inaelekea kufa. Poleni ndugu, jamaa na marafiki.
CCM ilikuwa imefikishwa pabaya kiasi cha mtu aliyekuwa anavaa shati au kitenge cha kijani alirushiwa mawe.
Leo hii tunaona maelfu ya wananchi wakiona fahari kubwa kuvaa jezi za kijani na wanajitokeza kwa wingi ili wapate nafasi ya kupeperusha bendera za Chama Kubwa.
Mpasuko utaanzia wapi kwa chama kama hiki ambacho hakina makundi?