Hiyo comment yako hujamalizia vizuri, mpo pia nchi hii? msije mkatuletea yale ya nchi za jirani zetu.Huo ndo ukweli wenyewe, hakuna mtanzania anayemhitaji Meko kwa sasa. Sijui wahutu wenzie.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo comment yako hujamalizia vizuri, mpo pia nchi hii? msije mkatuletea yale ya nchi za jirani zetu.Huo ndo ukweli wenyewe, hakuna mtanzania anayemhitaji Meko kwa sasa. Sijui wahutu wenzie.
Hawakujitokeza kuomba fomu zilkuwa kibao ziko kwenye hard disk ya computer CCM tuna print on demand sisi sio mafisadi tofauti na Chadema Wana print mi fomu ya ugombea Uraisi,ubunge na udiwani ili stationery zao zipate pesaKwa nini mliprint fomu moja. Mngeruhusu wanaccm wengine wachukue fomu, ndo mngejua maana ya wajumbe
Sawa we subr ulinzi wa pale ufipa.Sawa, subiri uDAS...huo ndo upofu mliopigwa
Kaka Frank, hata mimi na marafiki zangu, majirani, wafanyakazi wenzangu na familia yangu tupo kwenye hii list.Mimi na rafiki,majirani,wafanyakazi wemzangu na familia yangu tupo kwenye hii list.
Kwetu kijiji kizima kipo kwenye hii listKaka Frank, hata mimi na marafiki zangu, majirani, wafanyakazi wenzangu na familia yangu tupo kwenye hii list.
Kama funza waliopo kichwani mwa wafuasi wa mekoKajamaaa kameandika funza tupu.
Eti hakuna mtanzani..!Huo ndo ukweli wenyewe, hakuna mtanzania anayemhitaji Meko kwa sasa. Sijui wahutu wenzie.
Huna mamlaka ya kuwasemea watanzania.Neema ya Magufuli ya kupendwa na wananchi na wapinzani imeishia 2015. Magufuli alibebwa na sifa ya utendaji kazi na kuwa waziri asiye kuwa na makuu siku zote. Kwa kweli alipendwa na kila kada...
Ongea kwa Takwimu ubaoni Sio kisa wewe Na CHADEMA wenzio hammpendi Magu useme Watu Wengi Mimi Na washikaji kitaaa Tunamkubali Sana MaguNeema ya Magufuli ya kupendwa na wananchi na wapinzani imeishia 2015. Magufuli alibebwa na sifa ya utendaji kazi na kuwa waziri asiye kuwa na makuu siku zote. Kwa kweli alipendwa na kila kada...
Wananchi gani hao unaowasemea ? wengine tuna muhitaji sana na aendelea miaka 15 mingine.Huyu jamaa amechokwa na wanananchi walio wengi, 2015 tulijua ni binadamu mwenzetu. Akiondoka madarakani nchi nzima italipuka kwa shangwe.
Unamhitaji peke yako.yan cku jamaa akiondoka hata kama ni 2025 nitafurah sana.ishu sio kuongozwa na CCM shida ni huyo aliyeshika runguWananchi gani hao unaowasemea ? wengine tuna muhitaji sana na aendelea miaka 15 mingine.