Fremu zimejengwa mtoni, bila shaka hiyo ni Dsm
Hata sijui kwanini...Mihogo hyo jaman dah!ukimaliza kula lazima usinzie
Unywe na uji sasa, utalala kama umepigwa nusu kaputi.Mihogo hyo jaman dah!ukimaliza kula lazima usinzie
Mama D umeshika nini? mwaka huu.2019
2020 ni ya kushika pesa kwa kweli adabu imetoshaBas haukuwa mwaka mzuri kwetu, nami nimeshika adabu. Tujipange tu mwakani tushike pesa au tushike vyote kwa pamoja.
Tuko pamoja aisee tunaishika hata kwa lazimaAdabu mkuu, hadi sasa nimeikamata sawasawa. Wewe ushika nini Njopino
Ila imetosha sasa
Asante, Mungu atutie nguvu, kwa kweli...!2020 ni ya kushika pesa kwa kweli adabu imetosha