Mpauko
R.I.P
- Jan 19, 2019
- 2,323
- 3,428
Ama kweli misemo ya waswahili wakati mwingine ina ukweli ndani yake....
Eti wanasema USIPOSHIKA FEDHA BASI UTASHIKA HATA ADABU,na tena ati ni LAZIMA ushike kimoja kati ya hivyo!
Wale walioshika fedha mjimwambafai hapa tuone nani zaidi!!! Wale wenzangu tulioshika adabu tufarijiane hapa...angalau walioshika FEDHA huu mwaka watualike KIPUNGA!
Alamsik
Sent using Jamii Forums mobile app