Ndoto zako zote za kutaka kuwa Raisi wa JMT zitagonga mwamba,Eti unategemea majeraha yako ili kupata Huruma ya watanzania,
Watanzania hatuwezi kuwa na Raisi Mchochezi, Raisi anaetegemea Huruma huruma, Raisi ambae muda wowote na saa yeyote anaweza kutupeleka Utumwani kwa mabeberu,
Ulikuwa unategema Ubunge wako na sasa Kwishney Mahakama imetenda haki kwenye pingamizi la kupinga kuhapishwa kwa mbunge mwenza, Mbunge wa kuwatumikia wananchi na sio mabeberu na bado haki pia itatolewa juu ya pingamizi lako la kuvuliwa Ubunge,
Tundu Lissu kaa utulie kwa sasa ulee Familia yako,
Mwaka 2020 tunaenda na Magufuri(JPM), Jiwe, Chuma steal kabisa.
Kwa Maendeleo ya Nchi Yangu na kizazi changu Nipo pamoja na JPM.