Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 301,221
- 1,172,274
Kumbe uliumwa Corona shosti Pole sana
Wakuu hope kila mtu yupo katika hali njema na kwa wale wanaopitia kwenye matatizo ya kimaisha iwe maradhi au hali ngumu ya kiuchumi hope Mungu ataweka unafuu.
Mwaka 2020 ndio tunaelekea kuumaliza na kuukaribisha mwaka 2021.
thd hii tujadili kwa kila mmoja wetu ni jambo/mambo gani ambayo hatoyasahau katika mwaka huu wa 2020?
Sio lazima liwe jambo baya inaweza kua hata jambo ulilolitimiza la kimafanikio mema katika maisha.
Binafsi sitosahau janga la Corona ambalo limeleta athari kubwa sana kimaisha na kiuchumi kwa huku ninapoishi,
Je, wewe binafsi jambo gani hutolisahau na una mipango gani kulirekebisha ili lisije kujirudia tena kama ni jambo baya?